News
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia S Hassani
Category : TPA | Sub Category : Tanzania Posted on 2021-12-29 12:15:34
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassani, amezindua rasmi matumizi Gati namba Sifuri hadi Saba yaliyoboreshwa kupitia Mradi wa DMGP.
Hafla hiyo imefanyika katika Bandari ya Dar es Salaam Disemba 04,2021